Habari yako ndugu msomaji.karibu tena katika kurasa yetu pendwa kabisa kwa trick za kijanja na mengineyo kuhusiana na technology.kutokana na malalamiko ya walio wengi kutokana na matatizo mbali mbli katika Hdd zao leo nimekuletea namna ya kuangalia Hdd yako kama ina tatizo lolote na kukuletea majibu papo hapo fuata hatua hapo chini ni rahisi sana
1.Fungua my Computer
2:Bonyeza local disk
3:Right click kisha bonyeza properties
4.Bonyeza tools
5.Bonyeza check
6.Bonyeza scan drive
7.Subiri mpaka imalize
8.Na hapo itakuwa tayari imeshamaliza itakuletea ujumbe kama disk yako ina tatizo lolote







0 Comments