Habari ndugu wapendwa,karibu katika blog yetu pendwa kabisa na bila kupoteza muda tuanze mada yetu ambayo wengi walikuwa wakiniufata inbox kuomba nifundishe hii kitu na mimi bila kipingamizi nimewaletea chuma hichi hapa.
NAMNA YA KUTUMIA JINA MOJA
FACEBOOK
Kwa kawaida mfumo huu hutumiwa nchini Indonesia pia mtandao
wa facebook wameruhusu suala hilo kwa sababu watu wa indonesia hawana majina mawili kama huku kwetu hivyo hapa inahitajika kutumia VPN ambayo itasaidia kubadilisha location itasoma indonesia.Twenzetu
Mahitaji
App ya Indonesia vpn at playstore
App ya open vpn for android at playstore
Data
connection
Hatua
1)
Download app ya ‘’Indonesia VPN’’
2) Download app ya’’ openVPN for Android’’
6) Bonyeza kwenye hicho kimshale kulia kisha bonyeza`` NOPROCESS`` na hapo subiria mpaka itakapo andika connected
7) Sasa fungua app yako ya facebook na ingia moja kwa moja kwenye menu
i) Ingia kwenye setting kisha nenda kwenye upande wa language badilisha lugha kwenda ``Bahasa indonesia´´
11) Kisha bonyeza`` nama`` na hapa utabadilisha jina na kuweka jina lako moja unalotaka kutumia kisha utabonyeza `´`Tinjau perubahan´´
13) Kisha utabonyeza neno `` simpan Perubahan`` na hapo utauwa umeshasevu tayari
14) Baada ya hapo badilisha lugha na kurudisha lugha yako ya awali kwa kubonyeaza neno ``Bahasa´´
15) Mpaka hapo utakuwa umefnikiwa Sasa enjoy kutumia facebook na jina moja
Endelea kufuatilia kiuzetz.blogspot.com kwa trik za kijanja kama hizii na
kama umekwama mahali comment hapo chini
Imeandaliwa na kiuze og
Call; 0728824133
Aboubakarykiuze572@gmail.com











0 Comments